Friday, November 18, 2016

HUU NI MJENGO ULIOKODIWA NA RAIS OBAMA,AMBAO ATAUISHI MARA TU ATAKAPOONDOKA IKULU JANUARI 2017>>>

JANUARI 2017, Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama ataondoka kwenye Ikulu ya nchi hiyo, White House na kuelekea kwenye makazi yake mapya huku akimuachia Donald Trump atakayekuwa ameshika dola.
Huu hapa mjengo alioukodi Obama kwa ajili ya kuishi yeye na familia yake mara baada ya kuondoka White House,Mjengo huo ambao unamilikiwa na Joe Lockhart umejengwa mwaka 1928, una eneo la futi za mraba 8200 karibu na Washington DC ambapo Obama ameukodi kwa gharama ya dola milioni 5.3 sawa na bilioni 11.5 za Kitanzania.Obama ataishi humo na familia yake mpaka pale ambapo mwanae wa pili, Sasha atakapomaliza masomo ya High School.


PICHA TANO KALI ZA RAIS OBAMA WITH HIS FAMILY(WIFE & CHILDREN)
MALIA OBAMA,MICHELLE OBAMA,BARACK OBAMA & SASHA OBAMA
 
"DUNIA INAWATAKIA MAPUMZIKO THABITI,MCHANGO WENU UTAKUMBUKWA"

HERE IS ONE OF MANY INTERVIEWS BY PRESIDENT OBAMA,YOU CAN WATCH IT,NOV 05 2016
 
 
prepared & edited by

 

No comments:

Post a Comment