Friday, October 21, 2016

EXCLUSIVE: PICHA & VIDEO YA MTOTO ITHAN MAHAFUDH,WA BUKOBA MKOANI KAGERA,MTOTO AMBAYE ANA KIPAJI CHA KIPEKEE UKILINGANISHA NA UMRI WAKE>>>>>

ITHAN MAHAFUDH,MTOTO MASHUHURI NCHINI TANZANIA
>>>>>>>>>>akiwa na umri wa miaka miwili tu,mtoto huyu amejizolea umaarufu mkubwa sana mitandaoni,baada ya kuonyesha uwezo wa kukariri,majina na vyeo mbalimbali ya viongozi kadha wa kadha duniani,hasahasa viongozi katika serikali ya magufuli....
akiwa na wazazi wake,wote wawili
nyumbani kwa kina ITHAN MAHAFUDH
AKIWA NA WADAU
 
ANGALIA VIDEO HII FUPI KUMFAHAMU MTOTO HUYU "ITHAN MAHAFUDH"
 
VIDEO KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS LIMITED
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment