Wednesday, October 12, 2016

BAADA YA CHRIS BROWN NCHINI KENYA,SASA MKALI WA MICHANO KUTOKA MAREKANI NICK MINAJ KUTUA AFRICA MASHARIKI(KENYA TENA) >>>>>

STAA WA HIP-HOP NCHINI MAREKANI #NICK MINAJ
Kenya inaingia kwenye headlines tena ikiwa ni baada ya mwimbaji staa wa Marekani Chris Brown kufanya show weekend iliyopita MJINI Mombasa, mpya ya leo imetoka kwa Gavana wa Mombasa Hassan Joho ambaye inaelezwa ndiye alidhamini tamasha la Mombasa Rocks Music Festival.
Story kutoka Kenya zinasema Gavana huyu inayedaiwa ana pesa za kutosha, ametangaza kuwa timu yake imeanza mazungumzo na uongozi wa rapper Nicki Minaj ili aje Mombasa kutumbuiza hivi karibuni.
Kwa mujibu wa Nairobi Wire, Jamal Gaddafi aliyekua MC kwenye tamasha la Mombasa Rocks  Music Festival amesema amepewa taarifa na Joho, awambie mashabiki wajiandae kwa show nyingine kubwa ya Nicki Minaj.
 
 
Gavana wa Mombasa, Joho Mohamed
Ripoti kutoka Kenya zinasema sababu kubwa hasa ya Gavana huyo kuwaleta mastaa wakubwa kutoka Marekani ni kutaka kukuza jina lake na kuitangaza zaidi Mombasa kwenye suala la utalii.
 
#MORE IMAGES/PHOTOS OF NICK MINAJ:-

#MACHAS OFFICIAL SITE
 

No comments:

Post a Comment