Monday, August 29, 2016

POLISI WAMEVAMIA KIKAO CHA NDANI CHA KAMATI KUU YA CHADEMA>>>>>>>>>>>>

Kikao cha Kamati Kuu (CHADEMA) Kinachofanyika Dar es salaam kimevamiwa na polisi na viongozi walioko meza kuu wanatakiwa kwenda polisi.

No comments:

Post a Comment