Tuesday, August 16, 2016

Baada ya kumalizana na BASATA Nay wa Mitego kaachia hii single mpya….

 
Baada ya kuchukua headlines za kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’ kutokuwa wa kimaadili katika jamii, sasa basi time hii  ameachia single nyingine mpya iitwayo Good Time aliyomshirikisha Tiki.
Unaweza ukabonyeza HAPA kuisikiliza single hiyo mpya pia kuidownload kama utaipenda....
 
 
#BY MACHAS OFFICIAL SITE
 

No comments:

Post a Comment