Tuesday, July 26, 2016

imefika pabaya na imekuwa..........KOFFI OLOMIDE AKAMATWA DR CONGO NA KUHUKUMIWA KIFUNGO JELA MIEZI 18

MWANAMUZIKI MAHIRI BARANI AFRICA---KOFFI OLOMIDE-(MUPAO)
 
 
 
 
KINSHASA, CONGO:
Mahakama imemhukumu Mwanamuziki Koffi Olomide, miezi 18 jela kwa kumpiga mnenguaji wake wa kike wiki iliyopita.
Hukumu yake hiyo haina adhabu mbadala ya kulipa faini kwa hiyo kutumikia hiyo miezi 18 jela
 
#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment