Monday, June 6, 2016

PICHA, MSANII WA KIMATAIFA WA NCHINI TANZANIA DIAMOND PLATNUMZ LEO JUNE 6 AMETOA MSAADA WA MADAWATI 600 MKOA WA DSM

DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA MHE.PAUL MAKONDA(RC DSM)
 
 
June 6 2016 msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na familia nzima ya WCB Wasafi ilifika katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda na kumkabidhi Madawati 600 kwajili ya Wanafunzi wa shule za Dar es Salaam.
Madawati hayo ambayo yataweza kusaidia Wanafunzi Elf Moja na mia nane 1,800 kutoka kwenye kukaa chini na kuweza kukaa kwenye Dawati na kupata elimu Vyema,


        MSANII DIAMOND PLATNUMZ,AKIWA NA TIMU NZIMA YA #WCB WAKIWA OFISINI KWA MKUU WA MKOA WA DSM, PAUL MAKONDA.....


 
 
#MACHAS_OFFICIAL_SITE- INATOA PONGEZI KWA MSANII DIAMOND PAMOJA NA TIMU NZIMA YA WCB KWA UJUMLA...KWA MOYO WA UPENDO WALIONAO




No comments:

Post a Comment