Thursday, May 5, 2016

BABA MZAZI WA KOFFI OLOMIDE AFARIKI DUNIA...



 
 
 
 
 
 
 




Baba wa mwanamuziki nguli barani Afrika, Koffi Olomide ‘Mopao Mokonzi’ anayetamba na wimbo wa ‘Selfie’, Charles Agbeba aliyekuwa mcheza mpira maarufu nchini humo katika timu ya AS Vita ya nchini Kongo.
Mzee huyo amefariki dunia Jumamosi iliyopita akiwa nchini Ufaransa huku Koffi akitoa shukrani kwa wasanii mashuhuri waliofika nyumbani kwake na kumfariji kutokana na kumpoteza baba yake huyo.
Leo nguli wa muziki Papa Wemba anatarajiwa kupumzishwa katika nyumba yake ya milele nchini humo, baada ya kufariki akiwa jukwaani akifanya shoo nchini Ivory Coast.

No comments:

Post a Comment