Thursday, April 28, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bi. Julieth Kairuki (Pichani chini) baada ya kubainika kuwa hajachukua mishahara yake tokea Aprili 2013.

 
 
 
 
 
 
 
 

#MACHAS_OFFICIAL_SITE


No comments:

Post a Comment