Wednesday, May 3, 2017

TAHADHARI KUTOKA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA>>>>

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imesema kwamba, kumekuwa na utapeli unaofanywa na watumishi kupitia simu za mkononi, kwa kuombwa miadi na watu wanaodai kufanyakazi serikalini......

--TAARIFA KAMILI>>>>

No comments:

Post a Comment