Monday, January 30, 2017

STORI ZA BONGO:VIDEO VIXEN/PRESENTER GIGY MONEY,AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MPENZIWE AITWAE MO-J????>>>>>>>

Wingu la mahaba mazito kati ya video queen Gigy Money na mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha Choice Fm Mo J limeendelea kutanda kwani wawili hao kwa sasa wako karibu zaidi.Mo J anadaiwa kumvalisha pete mrembo huyo anayetamba katika video ya matonya HAKIJAELEWEKA baada ya hivi karibuni kupost picha  na kuandika ujumbe huu.....
gigy money with her lover MO-J
---Valentine’s ileeeeee..!! mwezi wa ma lovey dovey sasa mimi mapemaaa nimempa Bonge la zawadi mama Candy @gigy_money lakini nisingeweza kufanikisha lengo langu bila @malaikadesigner @malaikadesigner kwa kutushonea nguo nzuri kama unavyoziona mimi na mama Candy @gigy_money ..! sasa mchek @malaikadesigner @malaikadesigner kwa mahitaji ya nguo nzuri za kushona za kike na zakiume……,Unajua nini @malaikadesigner umefanya mama Candy anipende zaidi na azidi kuniamini kwa zawadi ya nguo nzuri niliyompa #loveisallweneedinthisworld
Kwa upande wa Gigy Money alipost picha na kuandika “chanda chema huvishwa pete” kauli ambayo imemfanya mrembo huyo kupongezwa na mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.

No comments:

Post a Comment