Saturday, November 19, 2016

NEW VIDEO: DAVIDO FT. NASTY C – COOLEST KID IN AFRICA>>>>>

Msanii Davido kutoka Nigeria baada kuachia wimbo wa “How Long” ambao  amemshirikisha Tinashe ameachia tena video mpya nyingine wimbo “Coolest Kid In Africa”, akiwa amemshirikisha rapper Nasty C.
 

VIDEO: CYRILL KAMIKAZE – NIPE MUGONGO

Rapper Cyrill Kamikaze ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Nipe Mugongo’ iliyoongozwa na director Ivan. Tazama hapa chini video hiyo.

 

 

No comments:

Post a Comment