Sunday, July 17, 2016

TAARIFA KWA UMMA(PUBLIC NOTICE) KUTOKA TUME YA VYUO VIKUU NCHINI T.C.U

Tume ya Vyuo Vikuu(TCU) yatoa Ufafanuzi Kuhusu Alama za Kudahiliwa Vyuoni
 
 
TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo.
 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE.

No comments:

Post a Comment