Saturday, July 9, 2016

Picha,Shilole kafuta jina la Nuh Mziwanda kwenye mwili wake.

SHILOLE, SHISHI BAYBE.........
 
 
Ile tattoo kwenye mkono wa Shilole iliyokuwa na jina la Ex Wake msanii wa Bongo fleva Nuh Mziwanda imefutwa na Shilole na badala yake ameweka ala ya muziki na kuandika Shishi Baby.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE
 

No comments:

Post a Comment