Monday, July 11, 2016

MASANJA MKANDAMIZAJI AMVISHA PETE MSICHANA ANAETAJWA KUWA NI MCHUMBA WAKE....VIDEO IKO HAPA !!!!!!!!!

MASANJA(KULIA) AKIWA NA MSICHANA HUYO ANAETAJWA KUWA MKEWE MTARAJIWA (WHITE ONE)....
 
Miongoni mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana anaedaiwa kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake huyo wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc Pilipili na Emanuel Mbasha.

Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.
 
 
#MACHAS  OFFICIAL SITE...

No comments:

Post a Comment