Friday, June 3, 2016

HABARI NJEMA HIZI APA KUTOKA #WCB CHINI YA DIAMOND PLATNUMZ 02 JUNE 2016

MSANII RICH MAVOKO HATIMAYE JANA AMESAINI MKATABA WA KUFANYA KAZI RASMI NA @WCB ILIYO CHINI YA +Diamond Platnumz

WCB CHIEF DIAMOND PLATNUMZ AKIMKARIBISHA RASMI MSANII RICH MAVOKO
 
 
Bongo fleva super staa Rich Mavoko ametia wino kwenye mkataba wa lebel wa WCB Wasafi ya Diamond Platnumz Leo June 2 2016.
Rich atakuwa msanii wa wasafi na atatoa nyimbo zake chini ya lebel hio. Diamond alitupa habari hii nzuri kwa kuandika “Wolcome to the Family @richmavoko Let’s take Bongo fleva to the world!”



 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE INATOA PONGEZI KWA MKALI DIAMOND PLATNUMZ KWA KUZIDI KUKUZA NA KUENDELEZA VIPAJI BORA TANZANIA.....GOD BLESS U

No comments:

Post a Comment