Tuesday, May 24, 2016

MHESHIMIWA ZITTO ZUBERI KABWE KUIAGA RASMI KAMBI YA UKAPERA>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>



Kambi maarufu mjini ya Ukapera inatarajia kupata pigo la mwaka pale member wake mahiri na wa muda mrefu, mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe atakapoipiga kibuti rasmi.
Zitto amemchumbia msichana mrembo anayetarajia kumbadilisha jina soon kuwa ‘Mrs Kabwe.’
 
MHESHIMIWA ZITTO ZUBERI KABWE- MEMBER OF PARLIAMENT KIGOMA TOWN CONSTITUENCY
 
 
 
Picha za mbunge huyo akimvisha pete msichana huyo mbele ya ndugu na jamaa zimesambaa mtandaoni wiki hii.
Kuna picha moja inayoonesha kuwa ni post ya Instagram aliyoiweka Zitto ambapo aliandika: So Beautiful and full of love. I love you.
Kabla ya kufutwa post hiyo ilikuwa imefikisha comments 216 na likes 3,257. 
 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE INATOA PONGEZI KWA MHESHIMIWA ZITTO KABWE,WASWAHILI WANASEMA DALILI YA MVUA NI MAWINGU.....GOD BLESS U HONOURABLE ZITTO KABWE......
 

No comments:

Post a Comment