Wednesday, April 27, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WAPYA KUMI ALIOWATEUA TAREHE 25 APRILI, 2016 NA KUWAPANGIA VITUO VYAO VYA KAZI.APRIL 27,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Makamu wa rais na katibu mkuu kiongozi katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimuapisha Eng. Aisha Salim Amour kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam



#PICHA HIZO CHACHE KWA NIABA YA MAWASILIAMO IKULU,IKISHIRIKIANA NA MACHAS OFFICIAL SITE......



PICHA ZINGINE ZOTE ZA MAKATIBU WENGINE WOTE INGIA HAPA:-
http://blog.ikulu.go.tz/

No comments:

Post a Comment