Monday, April 25, 2016

RAIS DR JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA 25 AMBAPO KUMI NI WAPYA WAWILI WABADILISHIWA VITUO VYA KAZI 13 WAMEBAKISHWA KWENYE VITUO VYAO VYA AWALI

Makatibu Tawala wapya walioteuliwa leo

Arusha - Richard Kwitega
Geita - Selestine Muhochi Gesimba
Kagera - Armatus C. Msole
Kilimanjaro - Eng. Aisha Amour
Pwani - Zuberi Mhina Samataba
Shinyanga - Albert Gabriel Msovela
Singida - Dr. Angelina Mageni Lutambi
Simiyu - Jumanne Abdallah Sagini
Tabora - Dkt. Thea Medard Ntara
Tanga - Eng. Zena Said

Makatibu Tawala waliobadilishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo;

Kigoma - Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)
Morogoro - Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)

Makatibu Tawala waliobakishwa katika vituo vyao vya sasa vya kazi ni kama ifuatavyo;

Dar es salaam -Theresia Louis Mbando
Dodoma - Rehema Hussein Madenge
Iringa - Wamoja Ayubu Dickolagwa
Katavi - CP Paul Chagonja
Lindi - Ramadhan Habibu Kaswa
Mara - Benedict Richard Ole Kuyan
Manyara - Eliakimu Chacha Maswi
Mbeya- Mariam Amri Mjunguja
Mtwara - Alfred Cosmas Luanda
Mwanza - CP. Clodwing Mathew Mtweve
Njombe - Jackson Lesika Saitabau
Rukwa - Symthies Emmanuel Pangisa
Ruvuma - Hassan Mpali Bendeyeko.
RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
 
 
 

#MACHAS OFFICIAL SITE.

No comments:

Post a Comment