Saturday, January 30, 2016

NEY WA MITEGO

Nay Wa Mitego awachana Ray, Shilole, Niva, Snura katika wimbo wake mpya ambao bado hajauachia.....msome hapo chini.......
"Mungu akunyimi vyote lazima atakupa chako, Demu anasura mbayaa lakini ana Bonge la Tako.
BongoMovie Imekufa wamebaki kuuza Sura, Wote wanataka Kuimba Kama Shilole Snura.
Ray Kigo kawa Mkongo Mpaka Leo anaishi kwao, hela za kuuza Movie zote ananunua Mkorogo😎....
Kuna Nivar super Marioo ana Gari la Milioni Kumi ajawai ata miliki Getto, anaishi kwa Mademu wakiachana Gari ndio Geto.
Kuna Wasanii Mapunga walio ponzwa na tamaa........."

Nini maoni yako....?

No comments:

Post a Comment