Monday, April 3, 2017

OFFICIAL VIDEO:MWANAMIELEKA MASHUHURI DUNIANI,JOHN CENA,AMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZIWE NIKKI BELLA>>>>

Usiku wa Jumapili hii John Cena amefanya jambo lililomshtua moyo mpenzi wake Nikki Bella ambaye amedumu naye kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitano.
Cena alimvalisha pete mchumba wake huyo ambaye na yeye ni mcheza mieleka baada ya pambano lao dhidi ya Miz na Maryse mbele ya mashabiki 75,000 waliokuwepo katika uwanja wa Orlando.
Kabla ya kumvalisha pete hiyo, Cena alimuuliza Bella, “I said, do you know, one day I’m gonna marry you? You said, ‘Yes’.”
“I just need you to say yes one more time,” aliongeza.
bado nakukumbusha kuwa,usipite bila kupitia youtube chanel yetu kwa taarifa,burudani na matukio kadha wa kadha,pia usiache kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata access SUBSCRIBE TO OUR YOUTUBE CHANEL

No comments:

Post a Comment