Mbunge wa jimbo la Mikumi, Professor Jay ameitumia vyema siku ya kuuaga mwaka 2016 kwa kumvisha pete ya uchumba mzazi mwenzake Grace Mgonjo zikiwa ni harakati za kuelekea kufunga ndoa.
Mwaka uliopita rapper huyo akiwa katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, aliahidi na kusema kuwa mwaka 2017 atafunga ndoa na mpenzi wake huyo.
Kupitia facebook rapper huyo alipost picha akimvalisha pete mchumba wake huyo na kuandika: Asante sana Mungu, leo (Jana) tunaufunga mwaka namna hii na Mke wa Profjize....
No comments:
Post a Comment