Jayalalithaa alikuwa ni kiongozi mkuu wa serikali katika jimbo la Tamil Nadu ambaye alifariki katika hospitali ya Apollo iliyopo mjini Chennai kwa maradhi ya mshtuko wa moyo. Kiongozi huyo anatarajiwa kuzikwa Jumanne hii huku waziri mkuu wa nchi hiyo, Narendra Modi akitarajiwa kuongoza mazishi hayo.
Jimbo la Tamil Nadu limetangaza siku saba za maombolezo huku serikali ya mji wa Delhi ikitangaza siku hii kuwa ya mapumziko ya kitaifa kwa ajili ya heshima kwa kiongozi huyo.
poleni sana india
No comments:
Post a Comment