Tuesday, November 22, 2016

WAFUATAO NI RAPPERS 10,BONGO,TANZANIA WALIOTAMBULIWA NA KITUO CHA RUNINGA MTV BASE,KAMA RAPPERS BORA 2016

Kituo maarufu cha runinga cha MTV Base kimeyataja majina ya wasanii kumi wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania wanaofanya vizuri kwa sasa nchini.
kwa mujibu wao,wamemtaja rapper Fareed Kubanda aka Fid Q kuwa namba moja yao,huku kundi la Weusi likifanikiwa kuingiza wasanii watatu kwenye orodha hiyo.ambapo mwamba wa kaskazini joh-makini(mkali wa kimataifa kwenye hip-hop)akitajwa kushika namba 2 Tazama orodha yote hapa chini.

1)Fid Q
2)Joh Makini
3)AY
4)Mwana FA
5)ROMA
6)Mr. Blue
7)Nick wa Pili
8)G Nako
9)Prof Jay
10)Chindo Man
 
mawazo yangu,yamkini hawana research kamili ya wasanii wengine wanaofanya poa,mfano DARASA,n.k
FID Q
 FID Q-SUMU(VIDEO)
JOH-MAKINI(MWAMBA WA KASKAZINI)
PERFECT COMBO,BY JOH-MAKINI(VIDEO)
 

No comments:

Post a Comment