Monday, November 14, 2016

MIMI BADO NI BIKIRA,SIJAWAHI KUJIGJIG TANGIA NIZALIWE-FEMALE RAPPER CHEMICAL

CHEMICAL-RAPPER WA KIKE MWENYE FLOW KALI TANZANIA
Rapper wa kike Bongo mwenye swagga za hatari, Chemical amefunguka na kusema yeye bado ni bikira (hajawahi kujigijigi tangu azaliwe).
Alisema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha D’WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia Clouds TV.
“Sijawahi kuwa na mahusino na mtu yeyote,” alisema.
“Siri ya kujitunza hadi leo hii kuwa bado nipo hivi ni kutokana na jinsi ambavyo nimelelewa maana mara nyingi nyumbani huwa tunaambiwa kuwa usifanye hivi na vile hadi uolewe, na mimi kwahiyo nimekuwa hivyo nikawa naogopa,” aliongeza.
Hata hivyo Chemical amesema licha ya kuwa bikira, hajawahi kujihusisha na mapenzi na wasichana wenzake (ulesbian).
MTIZAME CHEMICAL MWENYEWE AKILIZUNGUMZIA HILO,APA KWENYE HII VIDEO
chemical new song "mary mary" official music video
 
by
 
 

No comments:

Post a Comment