Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Twaweza, Aidan Eyakuze
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Twaweza, Aidan Eyakuze alisema hayo mjini Kigoma, wakati wa utambulisho wa mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi, mpango unaotekelezwa katika miji 15 duniani, huku Manispaa ya Kigoma Ujiji ikiwa ni mji pekee nchini.
No comments:
Post a Comment