Sunday, September 11, 2016

INASEMEKANA KUWA ,HUYU NDIYE MTANGAZAJI AMA MUANDISHI WA HABARI MCHAFU ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI >>>>

Raphael Tenthani ,aliyekuwa mwandishi wa habari katika shirika la habari la BBC akiripotia kutoka nchini Malawi
 
Raphael Tenthani inasemekana kuwa ndiye mtangazaji mchafu Zaidi kuwahi  kutokea duniani

Raphael mara zote ambazo alipokuwa akiripoti taarifa hakuwa na silika ya unadhifu , mara zote alikuwa mtu wa kuvaa hovyohovyo,sometimes alikuwa hachani nywele(yaani very crank)na kwa mujibu wa taarifa kadhaa walidai kuwa alikuwa ananuka mdomo

 
hata ivyo mtangazaji huyu alifariki dunia may 15 2015 kwa ajali ya gari

No comments:

Post a Comment