Monday, September 19, 2016

ELIZABETH MICHAEL(LULU): ATANGAZA KUHITAJI KUPATA MTOTO....>>>>>>>

MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU BONGO TANZANIA....LULU
Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘LuluMichael amedai kuwa anahitaji mtoto kwa sasa.
Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa INSTAGRAM akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.
“Okay…I’m ready noooow😫😫😫😫and I want a Baby Boy😭😭😫In Jesus Name🙏,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.
Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.
ELIZABETH MICHAEL(LULU) AKIWA NA MPENZI WAKE MAJAY
 
 

No comments:

Post a Comment