Mbali ya mishahara, wengi wao wanaongeza vipato kutokana na deal za matangazo, uwekezaji, marupurupu ya ushindi nk. Wengi, hata hivyo, huanzia kwenye mishahara. Ni kiasi gani wanalipwa?
Kwa mujibu wa mtandao wa Total Sportek, wachezaji hawa 15 ndio wanalipwa kiasi kikubwa zaidi cha mishahara wakiongozwa na Christiano Ronaldo na Lionel Messi. Viwango vilivyowekwa hapa ni katika Paundi ya Uingereza. Kama utakavyoona Ronaldo na Messi tu ndio ambao viwango vyao ni baada ya kukatwa kodi. Kwa maana hiyo hizo ndio mpunga kamili wanaokwenda nao kutokana na mshahara.
Christiano Ronaldo (Real Madrid). Kwa wiki analipwa £288,000.(Baada ya Makato Ya Kodi) Kwa mwaka analipwa £15 Million. (Baada ya makato ya Kodi)
Lionel Messi (Barcelona) Kwa wiki analipwa £275,000(Baada ya makato ya Kodi) Kwa mwaka £14.5 Million (Baada ya Makato Ya Kodi)
Wayne Rooney (Manchester United)
Kwa wiki analipwa £250,000. Kwa mwaka £13 Million
Kwa wiki analipwa £250,000. Kwa mwaka £13 Million
Zlatan Ibrahimovic (Manchester United)
Kwa wiki analipwa £220,000. Kwa mwaka £11.4 Millioni
Kwa wiki analipwa £220,000. Kwa mwaka £11.4 Millioni
Yaya Toure (Manchester City). Kwa wiki analipwa £230,000. Kwa mwaka anabeba £11.9 Millioni
Sergio Aguero (Manchester City). Kwa wiki analipwa £230,000. Kwa mwaka £11.9 Milioni
Neymar (Barcelona). Kwa wiki analipwa £220,000. Kwa mwaka analipwa £11.4 Milioni.
David Silva (Manchester City). Kwa wiki analipwa £210,000. Kwa mwaka analipwa £10.9 Milioni
Luis Suarez (Barcelona). Kwa wiki analipwa £205,000. Kwa mwaka anachukua £10.6 Milioni
Gareth Bale (Real Madrid). Kwa wiki analipwa £200,000. Kwa mwaka anachukua £10 Millioni
David De Gea (Manchester United). Kwa wiki analipwa £200,000. Kwa mwaka anachukua £10 Milioni
Bastian Schweinsteiger(Manchester United). Kwa wiki analipwa £200,000. Kwa mwaka £10 Milioni
Thiago Silva(Paris St German). Kwa wiki analipwa £185,000. Kwa mwaka analipwa £9.6 Milioni
Eden Hazard(Chelsea). Kwa wiki analipwa £185,000. Kwa mwaka anachukua £9.6 Milioni
#MACHAS OFFICIAL SITE
related searches:-
No comments:
Post a Comment