Wednesday, June 29, 2016

TAZAMA Shoga Alivyoojiwa na Zamaradi Katika Kipindi cha Take One Jana Usiku....Adai Anatamani Abebe Mimba Azae

SHOGA MAARUFU MJINI #KAOGE
 
Sijui nianzaje ila dunia imeisha, Zamaradi anamuhoji shoga anaitwa Kaoge, Pamoja ni ngumu kuaangalia ila kunafunzo la kujifunza kwa  watoto wetu wa kiume tunavyoweza kuwalea .
 Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba 
 Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua anaitwa gody ka demu, Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na unyanyapaaji
 
 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment