tukio hilo la aina yake lilijitokeza jana tarehe 25.may 2016 pale ambapo mkuu wa mkoa wa dsm mhe. paul makonda alipokuwa msibani hapo na alipokuwa akiwapa mkono wa pole ndugu wafiwa, ndipo mtoto wa marehem, aitwae anna kabwe alipomgomea kiongozi huyo kitu kilichotafsiriwa kuwa ni tukio la tarehe 19 april pale ambapo makonda alieleza dhahiri utendaji duni wa ndugu kabwe pindi alipokuwa director wa jiji hilo kubwa hapa +Tanzania Country na hatimaye muheshimiwa magufuli kumsimamisha kazi ndugu MBONEA WILSON KABWE.... 1956-2016
VIONGOZI WENGINE WALIOKUWEPO MSIBANI APO NI PAMOJA NA MHESHIMIWA +George Simbachawene WAZIRI WA TAMISEMI, ndugu Raymond mushi-DC ILALA, MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DSM ,ndugu issaya mwita,, RPC DSM SACP SIMON SIRRO....... n.k
mheshimiwa paul makonda RC-(KATIKATI) ,MHE. GEORGE SIMBACHAWENE- WAZIRI @TAMISEMI) WA KWANZA ...............................
MTOTO WA WILSON KABWE,(ANNA .W. KABWE) AKIBONYEZA SIMU WAKATI AKIPEWA MKONO NA MKUU WA MKOA WA DSM NDUGU
MAKONDA
No comments:
Post a Comment